Information reaching Kossyderrickent has it that Harmonize ameacha kumfuata Poshy Queen kwenye Instagram. (Read More Here).
Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen wamefungiana kwenye mtandao wa Instagram. Poshy pia amefuta picha zote za mwimbaji huyo kutoka Tanzania kwenye mtandao wake wa Instagram.
Haya yanajiri siku mbili tu baada ya kutoka pamoja kwenye hafla ya mpira wa miguu ambapo Harmonize alikuwa akitumbuiza. Mwezi Juni Harmonize alikuwa ameeleza nia yake ya kumalizana na Queen.
“Kusema ukweli kabisa kwa kila mtu, ninajiamini sana kumwambia mtu yeyote kuwa nampenda sana Poshy Queen. Na nasema hivi kando na kuwa na furaha tu; unajua tumekuwa pamoja kwa zaidi ya miezi 6 sasa.”